Habari kuhusu Wanawake na Jinsia kutoka Juni, 2013
Tunisia: Mwanaharakati wa FEMEN Akabiliwa na Mashtaka Mapya
Wakati mwanaharakati wa FEMEN raia wa Tunisia Amina Tyler akitarajiwa kupanda kizimbani kusomewa mashitaka mapya mnamo Juni 5, chama cha Upinzani kimekosolewa kwa kukaa kimya na kushindwa kumwunga mkono binti huyo