Habari kuhusu Wanawake na Jinsia kutoka Machi, 2019
Wanawake Wanaongoza Maandamano Nchini Sudan
“Wanawake wako mbele, kushoto, na katikati mwa mapinduzi. Maandamano yalipoanza, watu walidai, "Wanawake wangebaki nyumbani.' Lakini sisi tulisema — hapana.”