Habari kuhusu Wanawake na Jinsia kutoka Oktoba, 2015
Filamu ya Difret Inayosimulia Mila ya ‘Kumteka’ Mwanamke Kulazimisha Ndoa Nchini Ethiopia
Neno "Difret" lina maana ya "ujasiri" katika lugha ya ki-Amariki. Ni filamu mpya yenye jina hilo ikisimulia mkasa wa msichana wa ki-Ethiopia aliyetekwa na wanaume waliotaka kulazimisha ndoa ya 'kimila'.