Habari kuhusu Uchaguzi kutoka Novemba, 2016
Upendo Unashinda Chuki: Kipindi cha Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices
Wiki hii, tunaanzia Marekani ambapo Omar Mohammed anaelezea msemo wake, "Marekani niliyozoea kukupenda" na kisha kukupeleka Cuba, Syria, na Taiwani.
Tukio Mubashara la Facebook Kukuza Amani na Kupambana na Kauli za Chuki Nchini Kenya
DW Akademie inaandaa tukio la kujadili mikakati ya kupambana na kauli za chuki nchini Kenya kuelekewa kwenye uchaguzi mkuu mwakani.
Duterte ni Nani? Mjadala wa Kina
Amemwita Rais wa Marekani Obama mtoto wa kahaba. Vita yake dhidi ya madawa ya kulevya imeua maelfu ya watu. Lakini huo ni upande mmoja tunapomzungumzia Rais wa Ufilipino Duterte.