Habari kuhusu Uchaguzi kutoka Januari, 2015
Watu 36 Wauawa, Mtandao wa Intaneti Wafungwa Kongo DRC Kufuatia Maandamano ya Kumpinga Rais Kabila
Ghasia na mapigano kati ya Polisi na waandamanaji wanaopinga hatua ya Kabila kurekebisha sheria ya uchaguzi vimesababisha kuuawa kwa watu 36 nchini Kongo DRC katika kipindi cha siku chache.