Habari kuhusu Uchaguzi kutoka Septemba, 2014
Waandamanaji Wanaodai Demokrasia Wageuza Hong Kong Kuwa Bahari ya Miamvuli
Yakiwa yamepewa jina la utani la "mapinduzi ya miamvuli" na baadhi ya vyombo vya habari, maandamano ya Hong Kong yatawaliwa na waandamanaji wanaojikinga na mabomu ya kutoa machozi kwa kutumia miamvuli.