Habari kuhusu Uchaguzi kutoka Julai, 2009
Mauritania: Uchaguzi wenye udanganyifu?
Tarehe 18-07-2009, miezi 11 baada ya mapinduzi ya kijeshi yakiongozwa na Jenerali Mohamed Ould Abdel Aziz, Mauritania imemchagua Jenerali huyu kwa Urais, na kusababisha wapinzani wakuu wa Abdel Aziz kuukataa uchaguzi kwamba ni “kiini macho,” kwa mujibu wa Habari za BBC. Pitio la haraka haraka kwenye blogu za nchi za Saheli linaonyesha kwamba wapinzani wako katika ushirika mzuri.
Kongo Brazzaville: Uchaguzi wa Rais Wakatisha Tamaa
Siku ya Jumapili, Julai 12, watu wa Jamhuri ya Kongo walipiga kura katika uchaguzi ambao ulisusiwa na viongozi wa Upinzani kwa madai kwamba usingekuwa huru wala wa haki. Denis Sassou...