Habari kuhusu Uchaguzi kutoka Septemba, 2020
‘Hakuna kupiga Kura Mpaka Barabara Ijengwe': Sababu ya Wanakijiji cha Goa Kususia Uchaguzi Mkuu wa India
Barabara mbaya, ukosefu wa huduma za maji na umeme ziliwasukuma Wagoha hawa kugomea uchaguzi unaoendelea huko Lok Sabha katika kijiji cha Marlem.