Habari kuhusu Uchaguzi kutoka Septemba, 2013
South Korea: Ahadi ya Rais ya Ustawi Iliyoshindwa Yakosolewa
Rais Park yuko kwenye wakati mgumu kwa r ahadi yake aliyoitoa wakati wa kampeni kuwa angepandisha ruzuku ya pensheni gharama za mafunzo. Wakosoaji wanasema kampeni yake iliahidi kinyume na sera...
Bhutan: Sheria za Uchaguzi Zahitaji Mabadiliko
Yeshey Dorji anaunga mkono hatua ya Baraza la Taifa Butan kuanzisha mjadala wa rushwa wakati wa uchaguzi ambazo zimeripotiwa wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita zinazohitaji marekebisho yanayowezekana ya sheria ya...