Habari kuhusu Uchaguzi kutoka Novemba, 2009
Misri: Watu 10 Wenye Ushawishi Zaidi Nchini
Mtoto wa Rais wa Misri, Hosni Mubarak, anayitwa Gamal Mubarak, -- na ambaye anatarajiwa kumrithi baba yake nafasi hiyo -- aliibuka kama mmoja wa washindi 100 wa TIME. Wanablogu wa Ki-Misri wana ya kueleza kuhusu jambo hili.