· Januari, 2012

Habari kuhusu Uchaguzi kutoka Januari, 2012

Tunisia: Mwaka 2011 katika Picha za Mitandao ya Kijamii

Mwaka 2011 ulikuwa wa mabadiliko nchini Tunisia. Yote yalianza kwa kuanguka utawala wa Zeine El Abidine Ben Ali, na kuhitimishwa kwa waislamu wenye msimamo mkali kutwaa madaraka kwa kura. Tazama makala hii ya picha kuona matukio makubwa yaliyotokea Tunisia mwaka huu.

25 Januari 2012