· Juni, 2013

Habari kuhusu Uchaguzi kutoka Juni, 2013

Iran: Utani Kuhusu Mdahalo wa Urais

Raia wa mtandaoni kadhaa walitwiti kuhusu mjadala wa pili wa rais na waliwakejeli wagombea. Potkin Azarmehr alitwiti “Wagombea urais wanaweza kuombwa kucheza muziki.”