Habari kuhusu Uchaguzi kutoka Aprili, 2019
Rais wa Guinea Alpha Condé Awambia Wafuasi Wake Kuwa Tayari Kupambana
Alpha Condé, Rais wa Guinea aliwaambia wafuasi wake kuwa tayari kwa makabiliano mazito na wale wanaweza kumpinga kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Papa Francis Kutembelea Msumbiji Mwezi Septemba, Kipindi cha Kampeni ya Uchaguzi Mkuu
Msumbiji itakuwa na uchaguzi mkuu mwezi Oktoba na bado haijapata nafuu kutokana na kimbunga ambacho kimeharibu kabisa Beira ambao ni mji mkubwa wa pili.
Wanachama Vigogo wa Vyama vya Upinzani Tanzania Wanahamia Chama Tawala
Hivi karibuni, wanaohama chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, ni pamoja na wabunge wanne, madiwani 75 na wenyeviti wa vijiji kadhaa wote wamejiunga na chama tawala, CCM.