Habari kuhusu Uchaguzi kutoka Februari, 2010
Costa Rica: Video za Mtandaoni Zaongeza Vichekesho Katika Uchaguzi wa Rais
Uchaguzi wa Rais wa Costa Rica unafanyika Jumapili hii na kwa kupitia video, wananchi wengi wa Costa Rica wanatoa hisia zao kuhusu wagombea na mustakabali wa nchi yao kupitia vichekesho na utani.