Habari kuhusu Madagaska kutoka Oktoba, 2013
Zana ya Mtandaoni ya Kuwapima Wagombea Urais Nchini Madagaska
Tovuti ya ki-Malagasi iitwayo Madatsara imetengeneza tovuti utakayotumika kama majukwaa ya kuwapima wagombea wote wa Urais [fr]. Majukwaa yote yametengwa katika mada tisa kuwasaidia wananchi kufanya maamuzi ya busara wakati...