Habari kuhusu Madagaska kutoka Julai, 2013
Maandamano ya Kudai Uchaguzi nchini Madagaska Yasababisha Vurugu
Blogu ya Vola R ya Ma-Laza inaandika kwamba watu 7 walijeruhiwa [fr] kufuatia matumizi ya nguvu yaliyofanywa na polisi dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai kufanyika kwa uchaguzi mjini Antananarivo, Madagaska. Chama...