Habari kuhusu Gambia kutoka Oktoba, 2013
Gambia Yajitoa Jumuiya ya Madola, Yaiita Jumuiya Hiyo ‘Ukoloni Mambo-Leo’
"Gambia haitakuwa mwanachama wa taasisi yoyote ya ukoloni mambo-leo," nchi hiyo ya Afrika Magharibi ilitangaza katika tamko lake la wiki hii.