Habari kuhusu Cote d'Ivoire kutoka Julai, 2014
Mwanamke wa Ivory Cost Aangushwa Kutoka Ghorofa ya Sita kwa Kudai Mishahara yake
Msichana mwenye asili ya Ivory Coast alipoteza maisha kutokana na kile kilichotaarifiwa kuwa alisukumwa na mwajiri wake na kuanguka kutoka ghorofa ya 6 ya jengo kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni ugomvi baina yao kuhusiana na malipo ya mshahara wa msichana huyo.
Mitandao ya Kijamii Yasaidia Kuikoa Côte d'Ivoire Iliyokumbwa na Mafuriko
Abidjan na maeneo mengine ya Côte d'Ivoire yamekumbwa na mafuriko makubwa katika majuma kadhaa yaliyopita [fr]. Wakazi wa maeneo husika walijipanga kwenye mitandao ya kijamii ili kusaidia namna ya kuwaokoa...