Habari kuhusu Misri kutoka Novemba, 2013
Mwanaharakati wa Misri Alaa Abd El Fattah Akamatwa — Tena
Mwanablogu mashuhuri na mwanaharakati Alaa Abd El Fattah alikamatwa jana jijini Cairo usiku wa Alhamisi. Wanaomwuunga mkono wanahisi amekamatwa kwa kutumia sheria mpya ya kuzuia maandamano.
Mkutano wa Global Voices Cairo, Misri
Mkutano mwingine wa Global Voices unapangwa kufanyika Novemba 16 jijini Cairo, Misri. Tafadhali shiriki na wanachama wetu wa Jumuiya ya GV kwa kusanyiko hili maalumu.
Udadisi wa Sami Anan
Mwanablogu wa Misri Zeinobia anatoa maoni yake machache kuhusu kuibuka tena kwa Sami Anan, Mnadhimu mkuu wa zamani wa Majeshi ya Misri. Je, ana mpango wa kugombea urais? Mwanahabari wa...
Misri: “Morsi Hatarudi Madarakani”
Aliyekuwa rais wa Misri Mohamed Morsi hatarudi madarakani, anasema mwanablogu wa Misri Alya Gadi, kwenye mtandao wa Twita. Kuufanya ujumbe wake wazi, ametafsiri kwa lugha mbalimbali: مرسي لن يعود – Morsi...
Misri katika Harakati za Kujitafutia Makazi
Ni wapi mtu hujisikia kuwa yupo nyumbani? mwanablogu wa Misri Tarek Shalaby atoa maoni yake: Baadhi ya watu wanasema kuwa nyumbani ni pale palipo na kitanda chake, wengine wanadai kuwa...
Misri: Sabuni ya Ubikira?
Mwanaharakati wa Kimsiri Nelly Ali anashangaa: Wakati #Misri iko bize…Upuuzi kama huu uko kwenye makabati yetu ukiharibu maisha yetu "Sabuni ya Ubikira"#wanawake/a> pic.twitter.com/IXplFn2kY7 — Nelly Ali (@nellyali) November 1, 2013...