Habari kuhusu Misri kutoka Agosti, 2013
Mapigano Yalipuka Msikitini Baada ya Mhubiri Kumlaani el-Sisi
Mapigano, yaliyowekwa kwenye mtandao wa YouTube, yamesambazwa sana na kuzua gumzo kubwa mtandaoni.
Makanisa Yashambuliwa Nchini Misri
David Degner aweka picha kutoka makanisa yaliyoshambuliwa na kuchomwa katika sehemu iitwayo Mallawi, Minya, Misri ya Juu hapa. Anaandika: Siku ya Ijumaa makanisa mawili katika kijiji cha Mallawi, jimbo la Minya, yalishambuliwa na...
PICHA: Makanisa Yanalia Nchini Misri
Kufuatia kuchomwa kwa makanisa, msichana mdogo katika Misri ya Juu alichora picha hii iliyonifanya nitiririkwe na machozi: pic.twitter.com/iymw3SF49R — daliaziada (@daliaziada) Agosti 15, 2013 Mtetezi wa haki za wanawake nchini Misri Dalia Aziada...