Habari kuhusu Misri kutoka Oktoba, 2015
Kampeni ya ‘Alaa Aachiwe’ Yashika Kasi Mwaka Mmoja Baada ya Kufungwa Kwake
Alaa Abd El Fattah ametumikia mwaka mmoja kwa sababu ya uanaharakati wake. Amebakisha miaka minne. Watumiaji wa mitandao wanapiga kelele wanapoadhimisha mwaka mmoja wa kifungo chake wakidai aachiliwe huru.