· Julai, 2012

Habari kuhusu Misri kutoka Julai, 2012

Misri: Mubarak Afariki Dunia kwa Mara Nyingine

  7 Julai 2012

Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak amewahi kufa angalau mara moja kwa kila baada ya majuma machache tangu kuanza kwa mapinduzi ya Misri, yaliyouangusha utawala wake uliodumu kwa miaka 32. Watumiaji wa mtandao wanaitikia tetesi za hivi karibuni kuhusu afya yake.