Habari kuhusu Mali kutoka Novemba, 2013
Huzuni na Hasira Mjini Kidal, Mali
Mwanablogu Wirriyamu anaomboleza kuuawa kwa waandishi wa habari wawili wa ufaransa [fr] mjini Kidal, Mali. Lakini kando na huzuni yake kubwa, Wirriyamu pia anajisikia hasira kwa kuona kaskazini mwa Mali...