Habari kuhusu Guinea ya Ikweta kutoka Machi, 2014
Kupunguza Pengo Kati ya Matajiri na Masikini wa Bara la Afrika
"Wengine wanapanda ndege kupata matibabu ya 'aleji', wakati wengine wanatumia mizizi ya mitishamba kwa sababu tu hawawezi kumudu matibabu ya kawaida kabisa ya malariat."