Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Machi, 2019
Wakati Putin Akihubiri “Uhuru” na Maendeleo ya Teknolojia, Wataalamu Walalamikia Kupotea kwa Uhuru Mtandaoni
Wakati Vladimir Putin akiwaahidi Warusi mtandao wenye kasi zaidi na wa kuaminika, taarifa mbili za makundi ya wataalamu wa kujitegemea waonesha kuzorota sana kwa uhuru wa kutoa maoni mtandaoni.