Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

· Juni, 2019

Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Juni, 2019

2 Juni 2019

Vyombo Vya Habari Vya Serikali Vinamshambulia Mwanafunzi wa Shule ya Upili Ambaye Aliikosoa Serikali

Nagy amevumilia ukosoaji dhidi ya uelewa wake na hata udhalilishwaji wa kijinsia, wakati ambapo chombo kimoja kinachoiunga serikali kilimtukana matusi ya nguoni.