Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Mei, 2014
Mazungumzo ya GV: Ukoaji wa Mafuriko Uliowezeshwa na Watu Nchini Serbia

Juma hili tunazungumza na marafiki waishio Serbia wanajihusisha na jitihada za ukoaji. Je, ni hatua zipi zinazochukuliwa na wananchi na serikali? Na kwa nini mitandao ya kijamii iko hatarini?
Polisi wa Masedonia Wawalazimisha Waandishi Kufuta Picha za Ghasia
Ghasia, zilizofumuka baada ya kuuawa kwa kijana wa miaka 19, zilisababisha misuguano kati ya watu wenye asili ya Albania na Masedonia kwenye jiji la Skopje.
Jumuiya ya Kimataifa na Mgogoro wa Ukraine
guest blogs [es] ya Angie Ramos [es] katika Tintero kuhusu mgogoro wa kisiasa nchini Ukraine na baada ya kuchambua mambo mbalimbali muhimu husika anahitimisha kwa majibu ya Jumuiya ya Kimataifa:...
Mzee wa Kimasedonia Apambana Kurejeshewa Mali Yake
Mwanablogu wa Kimasedonia anayeitwa Dushko Brankovikj, ambaye mali zake zimetaifishwa mara mbili, ameshinda kesi, lakini serikali haijaweza kumrudishia mali zake.