Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Septemba, 2013
Uvumi Waenea Kwamba Putin Amefunga Ndoa Nyingine
Kumekuwepo na tetesi za muda mrefu kuwa Putin ana uhusiano wa kimapenzi na mcheza sarakasi Alina Kabaeva. Uvumi umekuwa mkubwa, kiasi cha kuhisiwa kuwa "wapenzi" hao hatimaye wameoana.