Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Aprili, 2014
Mashabiki Jijini Skopje Wakusanyika Kubadilishana ‘Stika’ za Soka
Mamia ya watu walikusanyika mchana wa Jumapili kwenye eneo la wazi jijini Skopje kubadilishana ‘stika’ za mkusanyiko rasmi wa picha za Kombe la Dunia la FIFA tarehe 28 Aprili, 2014....
Wa-Macedonia Wamcheka Rais wao ‘Kuchemka’ Kwenye Mahojiano
Wakati uchaguzi wa Rais Macedonia unakaribia, makosa aliyoyafanya Rais wa Macedonia Gjorge Ivanov kwenye mahojiano ya televisheni yasababisha majadala mkali miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii