Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Julai, 2021
TAZAMA/SIKILIZA: “Kwenda zaidi ya Maandamano,” mazungumzo na Tanya Lokot
Ulikosa matangazo mubashara ya Juni 17 kuhusu "Mazungumzo ya Global Voices" yaliyomshirikisha msomi wa masuala ya habari Tanya Lokot kuhusu kitabu chake cha "Beyond the Protest Square"? Tazama hapa video na sauti ya marudio ya matangazo hayo.