Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Disemba, 2013
Urusi: Kupigwa Risasi Mgeni na Hisia za Wazi za Ubaguzi wa Rangi
Kitendo cha kijana mmoja kupigwa risasi Novemba 23, 2013 kwenye treni ya Moscow kimeibua mjadala mpya mtandaoni kuhusu harakati zenye msimamo mkali Urusi kubagua wahamiaji nchini humo.
Mkutano: Kutengeneza Dunia Halisi ya Sauti za Dunia kwa Hadhira Halisi
Katika toleo hili la GV Face tunakutana na jopo la magwiji wa wawezeshaji wa mikutano ya Global Voices kutoka Misri, Pakistan, na Ureno.
Ulaya Yamuonya Waziri wa Ufaransa Kuhusu Matamshi Yake Dhidi ya Warumi
Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Manuel Valls, yalifufua uhasama uliokuwepo kati ya Ufaransa na Warumi.