· Mei, 2013

Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Mei, 2013

Wabunge wa Ukraine Wataka Utoaji Mimba Upigwe Marufuku Kisheria

  4 Mei 2013

Mapema mwezi Aprili, Wabunge watatu kutoka kambi ya Upinzani iitwayo“Svoboda” walipeleka mswada bungeni wenye lengo la kupiga marufuku utoaji mimba nchini Ukraine. Tetyana Bohdanova anataarifu mwitikio wa watumiaji wa mtandao kufuatia hatua hii ya Bunge la Ukraine.