· Aprili, 2012

Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Aprili, 2012

Ukraine: Gereza la Lukyanivska – “Mahali Watu Wanapotendewa kama Wanyama”

  6 Aprili 2012

Mnamo tarehe 2 Aprili, Televisheni ya Ukraine ya TVi ilirusha filamu iliyotayarishwa na Kostiantyn Usov kuhusu hali ya maisha na jinsi mahabusu wanavyotendewa katika gereza la Kyiv la Lukyanivska, na pia kuhusu kuenea sana kwa rushwa miongoni mwa askari magereza. Kwa uchache, wengi katika wale ambao tayari wametazama video ya Usov walishtushwa sana na yale waliyoyaona.