Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Januari, 2015
Pamoja na Wapiga Kura Kutilia Shaka Sera Zake, Croatia Yapata Rais Mwanamke
Croatia ipo katika mpasuko mkubwa wa kisiasa. Kolinda Grabar Kitarović ameweza kunyakua kiti cha uRais kufuati ushindi mwembamba alioupata dhidi ya Rais anayemaliza muda wake, Ivo Jospović katika duru ya pili ya uchaguzi uliofanyika mwezi Januari, 2015 kwa kupata asilimia 50.74 ya kura zote.