Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Julai, 2018
Kumetokea Nini Kwenye Haki za Kidijitali kwa Miaka Saba Iliyopita? Toleo la 300 la Ripoti ya Raia Mtandaoni Litakueleza
Wiki hii katika kusherehekea toleo letu la 300, tunaangazia miaka saba iliyopita ya habari za haki ya kidijitali duniani!
Wanaharakati Dhidi ya Rushwa Nchini Urusi Wafungwa kwa “Kuchochea Maandamano” kwa Walichokiandika kwenye Mtandao wa Twita
"...hapa tena tunashuhudia mkutano ukiandaliwa kwa kupitia mtandao wa Twita. Inavyoonekana wakati huu watajikuta wanamkamata kila mtu."