Habari kuhusu Ulaya Mashariki na Kati kutoka Mei, 2016
Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Waliopotea
Wiki hii, tunakupeleka Ecuador, Uganda, Bangladesh, Ukraine na Pakistan.
Yaliyojiri Wiki Hii Global Voices: Yeyote ni Kipaumbele?
Wiki hii tunakupeleka hadi China, Mexico, Jamaica, Macedonia na Uganda, ambapo tunaongea na Prudence Nyamishana ambaye anatusimulia ni kwa nini Raia wa Uganda hawakufurahishwa na vipaumbele vya serikali yao.