Habari kuhusu Sheria kutoka Mei, 2017
Makosa ya Uhalifu wa Mtandaoni dhidi ya Mwanzilishi wa Kampeni ya Jeshi la Manyanga Yafutwa
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Seriakali ya Jamaica amemfutia mashitaka yote matatu yaliyokuwa yakimkabili mwanaharakati La Toya Nugent, chini ya sheria ya nchi ya makosa ya uhalifu wa Mtandaoni.