Habari kuhusu Sheria kutoka Machi, 2014
Misri Yawahukumu Kifo Wafuasi 529 wa Muslim Brotherhood
Misri leo [Machi 24] imewahukumu kifo wafuasi 529 wa chama cha 529 Muslim Brotherhood kw akuhusiaka kwenye ghasia na vurugu zilizotolea Minya, kaskazini mwa Misri , mwezi Agosti mwaka jana.
Je, Sheria Mpya ya Ubakaji India Inawasaidia Wanawake?
Tumepata sheria ambayo inaelekeza kuadhibu ubakaji, na ambayo imebanua tafsiri ya ubakaji na kujumuisha watu wengi zaidi – wakati tatizo kubwa lilikuwa kwamba watu waliokuwa wanabakwa kwa mujibu wa tafsiri...
Trinidad na Tobago: Tume ya Mapinduzi
Je, Trinis inajali ripoti ya dat de iliyotolewa na Tume ya kuchunguza jaribio la mapinduzi ya Abu Bakr mwaka 1990 ambayo ndio kwanza imetoka? Trini inapendekeza kwamba kutolewa kwa matokeo...
Msichana Nchini Madagaska Ajiua Baada ya Picha Zake Kusambazwa Facebook
Koolsaina anaandika kwamba msichana mmoja wa ki-Malagasi alijiua [fr] baada ya picha zake kusambazwa kwenye ukurasa wa Facebook unaoonyesha picha za wasichana wa Madagaska bila ruhusa yao. Wito ulitolewa kwa...
Mazungumzo ya GV: Heri ya Miaka 25 ya Kuzaliwa, Mtandao!

Kuna tofauti gani kati ya Intaneti na Mtandao? Kwa nini mtandao wazi ni muhimu? Jopo la wataalamu maarufu wa teknolojia na watetezi wa haki wanazungumzia hilo kwenye Mazungumzao ya GV.
Siku 100 Gerezani Bila Mashitaka: Simulizi la Alaa Abd El Fattah
Mwanablogu mashuhuri wa Kimisri Alaa Abd El Fattah amemaliza siku yake ya 100 jela leo pasipo kufunguliwa mashitaka. Tazama video hii kufahamu kuhusu suala lake na mengine zaidi.
Kuumaliza Umasikini Nchini Malaysia
Kikundi cha Saya Anak Bangsa Malaysia kinashinikiza kupitishwa kwa Sheria ya Ujumuishi wa Kijamii ili kutatua tatizo la umasikini nchini Malaysia: Maelekezo yatokayo juu kuja chini yanaonekana kutokufanya kazi pamoja...
Matukio ya Ghasia Zinazofanywa na Majeshi ya Urusi nchini Ukraine
Blogu maarufu ya “Tafsiri za Maida ilichapisha bandiko la mtandao wa Facebook la Dmitry Tymchuk, Mkuu wa Kituo cha Ukraine cha Stadi za Siasa za Kijeshi, linaloeleza matukio ya ghasia...