Habari kuhusu Sheria kutoka Oktoba, 2009
Haiti, Jamhuri ya Dominica: Hali Mbaya Yaongezeka
Repeating Islands anaripoti kuhusu mauaji ya Wahaiti wanne katika Jamhuri ya Dominica
Marekani: Wanandoa wa rangi tofauti wanyimwa cheti cha ndoa
Juma lililopita huko Hammond, Louisiana, wapenzi wawili walituma maombi ya kibali cha kufunga ndoa na walikataliwa kwa misingi ya rangi zao tofauti. Afisa wa kutathmini na kuandikisha nyaraka (Muamuzi wa Amani) alidai kuwa “ndoa baina ya watu wa rangi hazidumu” na alisema kuwa anafanya hivyo “kwa ajili ya watoto.”
Trinidad & Tobago: Mtrini Mpaka Kwenye Mifupa?
“Kila siku ambayo ninapitia habari ninazidi kushawishika kuwa ninataka kuachana na klabu ya ‘Mimi ni Mtrini’ na kwenda sehemu nyingine”: Coffeewallah ameshachoka na kila kitu kuanzia uhalifu mpaka kodi.
Uganda: Wanablogu wa Uganda Wajadili Muswada Unaopinga Ushoga
Muswada ambao utaufanya ushoga kuwa kingyume cha sheria nchini Uganda umewasilishwa bungeni na sasa unasubiri tu saini ya rais Yoweri Museveni. Wanablogu mashoga nchini uganda wanajadili.
China: Maisha ya Raia wa Kigeni Katika Jela ya Beijing
Raia wa kigeni ambaye alitumia muda wa miezi saba iliyopita katika jela ya Beijing No. 1 Detention Center aliitumia idhaa ya DANWEI maelezo ya kina ya maisha yake ya kila...
Namibia: Kampeni ya Kukomesha Chanjo za Lazima
Kampeni ya kukomesha Chanjo kwa kulazimishwa nchini Namibia imezinduliwa: “ umoja wa Asasi za kijamii umetoa wito kwa Wanamibia wote kujiunga na kampeni ya kulaani chanjo kwa wanawake waishio na...