Habari kuhusu Sheria kutoka Novemba, 2013
Serbia Yaibua Maswali Ikiwa Kanisa Lastahili Kusamehewa Kodi
Nchini Serbia ripoti ya uchuguzi uliofanywa na shirika la Serbia la kila siku liitwalo Blic ikiwa Kanisa la Kisabia la Orthodox, ambao viongozi wao hivi karibuni wamekuwa katika vyombo vya...
Wa-Malawi Wajiandae kwa Kashfa Zaidi za Ufisadi
Steve Sharra anaelezea kwa nini Wamalawi wanakabiliwa na kashfa ya zaidi za ufisadi baada habari kuwa wazi kwamba baadhi ya wa-Malawi wenye nguvu walitumia vibaya Mfumo wa Pamoja wa Ndani...
Msongamano Gerezani Nchini Indonesia
Leopold Sudaryono anakabiliana na tatizo la msongamano wa magereza nchini Indonesia. Mwaka wa 2011, kulikuwa na wafungwa 144,000 kwenye nchi. Magereza yaliripotiwa kuwa na msongamano mkubwa na asilimia 45 kwa...
Tamko Kuhusu Mustakabali wa Ushirikiano katika Mtandao wa Intaneti.
Wawakilishi wa mashirika yanayoratibu miundombinu ya kiufundi ya huduma ya intaneti waliokutana huko Montevideo; Uruguay, wametoa tamko kuhusu mustakabali wa ushirikiano katika masuala ya Intaneti [es], ambapo walifanya uchanganuzi kuhusiana...
Sherehe ya ‘Siku ya Makazi Duniani’ Nchini Cambodia
Zaidi ya Wa-Cambodia 500 walijiunga na maandamano wakati wa maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani katika Phnom Penh kuonyesha kufukuzwa kwa nguvu na migogoro ya ardhi nchini.