Habari kuhusu Sheria kutoka Machi, 2019
Wanaharakati Nchini Iraki Wapaza Sauti Kupinga Muswada wa Makosa ya Mtandaoni
Muswada unaeleza hukumu ndefu ya gerezani, ikiwa ni pamoja na kufungwa maisha kwa kufanya makosa yanayohusiana na kuzungumza.
Tunaelewa Nini Kuhusu Uchaguzi Mkuu Ujao Nchini Msumbiji?
Mnamo Oktoba, 2019 Msumbiji itachagua magavana wake kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo. Kabla ya uchaguzi huu, magavana hawa waliteuliwa na rais.
Wakati Putin Akihubiri “Uhuru” na Maendeleo ya Teknolojia, Wataalamu Walalamikia Kupotea kwa Uhuru Mtandaoni
Wakati Vladimir Putin akiwaahidi Warusi mtandao wenye kasi zaidi na wa kuaminika, taarifa mbili za makundi ya wataalamu wa kujitegemea waonesha kuzorota sana kwa uhuru wa kutoa maoni mtandaoni.