Habari kuhusu Sheria kutoka Julai, 2014
Dunia Yatwiti Kuwatetea Wanablogu wa ki-Ethiopia Waliokamatwa Julai 31

Unagana na wanablogu wa Global Voices katika zoezi la kutwiti litakalofanyika duniani kote kwa lugha tofauti kuwatetea wanablogu na wanaandishi wa habari wanaokabiliwa na mashtaka ya ugaidi nchini Ethiopia.
Mfungo wa Ramadhani Wawaingiza Watu Matatani kwa Kula Daku Usiku Nchini Misri
Vijana kumi na moja walikamatwa nchini Misri wakiwa wanapata daku usiku, kitendo kinachochukuliwa kuwa kosa la kukutana usiku kinyume na sheria. Noor Mattar ana taarifa zaidi kuhusu mahabusu hao wa 'kosa la kula daku' kinyume cha sheria.
Kuongozeka kwa Vitendo vya Kujichukulia Sheria Mkononi Nchini Senegali
Sada Tangara, mpiga kura na mwanablogu anayeishi Dakar, nchini Senegali aliweka picha-habari inayohusu kuongezeka kwa matukio ya kujichukulia sheria mkononi kwenye mitaa ya Dakar, mji mkuu wa Senegali. Anaeleza mwanzo...
Udhalilishaji wa Kijinsia wa Watoto Wanaotalii Asia ya Mashariki
Mradi wa Nguzo ya Kuokoa Utoto, uliobuniwa na serikali ya Australia, umezinduautafitiukosefu wa msaada wa kijamii, elimu, furasa na ulinzi” kwa kuendelea kwa vitendo vya kuwadhalilisha watoto. Utafiti huo pia...