Habari kuhusu Sheria kutoka Aprili, 2018
Je, WanaBlogu wa Tanzania Wataridhia Kulipa au Watagomea ‘Kodi ya Blogu'?
Nchini Tanzania, ambapo kihistoria, vyombo vya habari vimekuwa na ukaribu mkubwa na maslahi ya serikali, kublogu kulifungua uwezekano wa watu binafsi kuanzisha majukwaa binafsi ya kupasha habari ambayo yameonekana kuwa na nguvu sana.