Habari kuhusu Kiingereza kutoka Februari, 2016
Rais Mzee Kuliko wote Duniani, Robert Mugabe wa Zimbabwe Atimiza Miaka 92
"Nimeshafariki mara nyingi. Nimempita hata Yesu Kristu aliyekufa mara moja tu."
Polisi wa Kidini Thelathini Nchini Saudi Arabia Wahitimu Mafunzo ya Kukabiliana na Uchawi
Wajumbe thelathini wa Tume ya Kusimamia Maadili na Kukabiliana na Maovu wamemaliza mafunzo ya siku tano ya namna ya kukabiliana na uchawi, kuwatambua walozi na hata kuvunja laana zao.
‘Uganda ni Chungu Kinachotokota': Kukamatwa, Udanganyifu na Kufungwa kwa Mitandao ya Kijamii Vyatawala Uchaguzi
"Winning an election through hook and crook while clobbering your fellow countrymen should never be a proud moment!"
Uandishi wa Habari ni Kosa la Jinai Nchini Bahrain
Mwandishi wa habari wa Marekani, Anna Therese Day pamoja na wenzake walishikiliwa nchini Bahrain, na kisha kurudishwa nchini mwao wakati wa kumbukumbu ya miaka mitano ya maandamano ya kuipinga serikali ya nchini Bahrain.
Nguvu ya Mitandao ya Kijamii Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Uganda, 2016
"Uhuru wa kujieleza unaambatana na wajibu wake. Kuna wakati upotoshaji hutokea wakati wa kutoa taarifa na kwenye kuchangia maoni kupitia mitandao ya kijamii."