Habari kuhusu Uchumi na Biashara kutoka Julai, 2016
Je, Waziri Mkuu wa Malaysia Ndiye Mhusika Mkuu wa Kashfa ya Ufisadi wa Dola Bilioni Iliyotajwa na Marekani?
"Nina hasira kwamba fedha za wananchi zinatumiwa kama vile ni za mtu binafsi. Hazira yangu inakuwa kali kwa sababu huyu 'Afisa wa Malaysia1' hakamatiki hapa"
Wananchi wa Uganda Wanataka Serikali Isaidie Kunusuru Shule, Sio Matajiri
Kubinafsisha faida na kuchangia hasara. Lazima wote tuchangie hasara ya biashara za matajiri lakini lini tulichangia faida wanayopata?
Kuwa na Shahada Hakukuhakikishii Ajira Nchini China
"Kupata ajira ni kazi ngumu sana kwa kuwa yakupasa kuanguka na kuinuka tena mara nyingi iwezekanavyo."