Habari kuhusu Uchumi na Biashara kutoka Septemba, 2013
Kwa nini Indonesia Haitakiwi Kupandisha Kima cha Chini cha Mshahara
Rocky Intan aneleza kwa nini kupandishwa kwa kima cha chini cha mshahara nchini Indonesia kutaathiri uchumi wa nchi hiyo: Viongozi wa kitaifa na wale wa ngazi za chini lazima wapambane...
Vumbi la Uchafuzi wa Mazingira Larudi Nchini Indonesia
Vumbi linalosababishwa na uchafuzi wa mazingira ni tatizo la mara kwa mara katika eneo hilo linalosababishwa zaidi na matukio ya moto wa msituni nchini Indonesia.