Habari kuhusu Uchumi na Biashara kutoka Januari, 2010
China: Tangazo la Google Kusahihisha Uvumi Limezua Utabiri Mwingine
Tangazo la hivi karibuni la Google.cn linasema kuwa uvumi kuhusu kujitoa kwake ni uvumi tu. Hata hivyo, utabiri zaidi ulijitokeza, ukiuliza iwapo uamuzi wa Google unalenga kuficha kushindwa kwake kibiashara, au unalenga kutumikia maslahi ya kisiasa.
China: Kwa Heri Google
Kufuatia tangazo la Google leo kuwa ikiwa serikali ya China haitaruhusu tawi lake la China kusitisha uzuiaji wa matokeo ya kutafuta tawi la Google nchini China litafungwa, wanamtandao walitembea mpaka...
Afrika: Matangazo ya “AdWords” Katika Afrika
Miquel anajadili matangazo ya Google AdWords katika Afrika: “Wakati ingelikuwa ni njia nzuri sana kwa wanablogu wa Kiafrika kupata pesa kidogo ili kulipia gharama za intaneti, Google haitoi chaguo la...
Msumbiji: Kifo Cha Mradi Mkubwa wa Mazao Nishati
Mwishoni mwa mwezi Disemba, Baraza la Mawaziri la Msumbiji lilitoa tamko muhimu. Kibali cha kutumia Hekta 30,000 za ardhi kwa kampuni ya mazao nishati (biofuels) Procana, kimebatilishwa. Shauri la Mradi wa Procana, ulipo kwenye eneo kubwa linalopakana na Mbuga ya Taifa ya Limpopo ambayo imetanda mpaka nje mpaka wa nchi, lilikuwa na utata pamoja na mvutano mkubwa tangu (shauri hilo) lilipoanza mwanzoni mwa mwaka 2007.
Kenya: Video ya Fundi Baiskeli na Vifaa vya Kienyeji
Katika blogu ya Afrigadget kuna video ya fundi baiskeli anayeonyesha na kuelezea jinsi ya kutumia zana alizozitengeneza nyumbani wakati anafanya kazi zake katika soko jijini Nairobi.