Habari kuhusu Uchumi na Biashara kutoka Machi, 2014
Namna Huduma ya Kuhamisha Fedha kwa Njia ya Simu Ilivyobadili Maisha ya Wakenya
Wakenya kwenye mtandao wa Twita wanaeleza namna MPesa, huduma ya kufanya miamala ya kibenki kwa kutumia simu za mkononi, ilivyobadili maisha yao tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo miaka saba iliyopita
Kupunguza Pengo Kati ya Matajiri na Masikini wa Bara la Afrika
"Wengine wanapanda ndege kupata matibabu ya 'aleji', wakati wengine wanatumia mizizi ya mitishamba kwa sababu tu hawawezi kumudu matibabu ya kawaida kabisa ya malariat."
Kuumaliza Umasikini Nchini Malaysia
Kikundi cha Saya Anak Bangsa Malaysia kinashinikiza kupitishwa kwa Sheria ya Ujumuishi wa Kijamii ili kutatua tatizo la umasikini nchini Malaysia: Maelekezo yatokayo juu kuja chini yanaonekana kutokufanya kazi pamoja...
Trinidad na Tobago: Kati ya Serikali Mbili
Katika mukhtadha wa idadi na ukubwa wa miradi inayotekelezwa kwa kupitia mipango ya serikali ya nchi hiyo, Afra Raymond anaeleza kwa nini ushirika wa kiwango cha juu unaoonyeshwa hivi sasa...