Habari kuhusu Uchumi na Biashara kutoka Mei, 2016
Yaliyojiri Wiki Hii Global Voices: Yeyote ni Kipaumbele?
Wiki hii tunakupeleka hadi China, Mexico, Jamaica, Macedonia na Uganda, ambapo tunaongea na Prudence Nyamishana ambaye anatusimulia ni kwa nini Raia wa Uganda hawakufurahishwa na vipaumbele vya serikali yao.