Habari kuhusu Uchumi na Biashara kutoka Oktoba, 2016
Sri Lanka Yaingia Hasara Kufidia Gharama za Matumizi Mabaya ya Serikali
Kiasi kikubwa cha fedha kilichotumika kuvunja mkataba wa manunuzi ya ndege mpya za Airbus kingetumika kwa mambo mengine mengi.